Saturday, May 15, 2010

COFFEE WITH LEGS


Migahawa ya kahawa yenye wahudumu wanaotunisha matiti na kuwacha miguu iliyopakwa mafuta kisawasawa wazi ili kuburudisha wateja imeshika moto sana Santiago. Wakati wa mapumziko mchana watu wengi wenye suti na tai huvamia migahawa hiyo, na kwa dau zaidi kidogo mtu huweza kuingia katika chumba cha faragha na kuhudumiwa na wahudumu wasio na mavazi.

0 comments: