Pichani Mkazi wa Kijiji cha Gomelo, Kata ya Kisaki , Tarafa ya Bwakila, Wilaya ya Morogoro
Lukwangule katuletea picha ya wagonjwa wa kuharisha na kutapika wakiwa kwenye wodi. Najua ipo njia na uwezo wa kuondoa adha ya teremka tukaze katika karne hii...
2 comments:
daaaaaaaaah serikal naona kama bado inaheza na maisha ya watu wake
Tukumbuke wakati huu wa uchaguzi, miaka ndio hiyo, mingi tu tangu tupate uhuru, leo viongozi wanataka kuongeza idadi ya viongozi, je mpaka sasa waliopo wametufikisha wapi? Tuchange pia kusaidia mambo kama haya, yaani, tukishamaliza hiyo michango ya chama!!! Tutafika tu siku moja....
Post a Comment