Friday, July 16, 2010

Accomplice in murder



Hali ya kusikitisha pale kwa Michuzi Jr. Watu kadhaa wamesimama kwa amani wakiangalia binaadamu mwingine akiuwawa kwa kuchomwa moto. Kwa namna moja au nyengine wale waliosimama wanaweza kuchukuliwa kama ni washiriki katika mauaji. Hawakuchukua hatua chanya katika tukio zima.

Polisi wako wapi?


Picha kutoka GlobalPublishers

4 comments:

Anonymous said...

Earning money online never been this easy and transparent. You would find great tips on how to make that dream amount every month. So go ahead and click here for more details and open floodgates to your online income. All the best.

Anonymous said...

Waafrika sisi tunaroho katili na hatupendani kabisa, hamna anaetaka mwenzake aishi kwa usalam na raha wala hataki mwenzake awe nacho na mwisho ndo huu, hapo wote ni wakosa alouliwa na muuaji.

Angie Babie said...

Inasikitisha na kuumiza sana,yani una mhukumu binadamu mwenzio kiasi cha kumtoa uhai wake kisa ameiba kitu kidogo kama baiskeli!
It is truly unfair and ujust...i think those people watching that incident should be taken to court as they have indirectly participated in murder otherwise they could have saved him from that cruel death warrant!

Setia said...

Visit me....
http://maoengbandoeng.blogspot.com