tag:blogger.com,1999:blog-11685510.post2808396884930223390..comments2024-01-03T00:22:58.800-08:00Comments on mwandani: FEMI KUTI AND THE POSITIVE FORCE (Womadelaide 2007)mwandanihttp://www.blogger.com/profile/17221079814940079302noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-11685510.post-40938636226383432242007-05-18T06:48:00.000-07:002007-05-18T06:48:00.000-07:00Aiseh Mr Tungaraza, asante sana kwa hii post - ime...Aiseh Mr Tungaraza, asante sana kwa hii post - imenifurahisha sana, to the point of feeling as if i was seeing the whole thing "laivu".
UbarikiweAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-11685510.post-41997116420857571262007-03-11T20:04:00.000-07:002007-03-11T20:04:00.000-07:00Tunga,maneno haya. Femi nampenda, ila baba yake nd...Tunga,
maneno haya. Femi nampenda, ila baba yake ndio hakuna mfano. Halafu yule mdogo wake Femi ndio hazimo kabisa kama baba yake. Sijui kama umewahi kumuona. Kila kitu kama baba yake: kucheza, maneno makala ya kisiasa, ukorofi, ukaidi, n.k.

Uliposema alipiga nyimbo zake mbili za zamani ulinikumbusha tabia moja ya Fela Kuti. Fela alikuwa akisharekodi wimbo basi usitegemee kumuona akiuimba kwenye onyesha lake. Alikuwa akisema kuwa anataka watu waone alivyopiga hatua. Yaani kama wimbo alirekodi mwaka juzi, kwanini akifanya onyesho leo aupige huo badala ya kupiga nyimbo mpya alizotunga wiki jana? Basi alikuwa harudii wimbo akishaurekodi.

Tupe zaidi.Anonymousnoreply@blogger.com