tag:blogger.com,1999:blog-11685510.post3812085559744761032..comments2024-01-03T00:22:58.800-08:00Comments on mwandani: CHEMA HAKIDUMUmwandanihttp://www.blogger.com/profile/17221079814940079302noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-11685510.post-6448952159890003822007-06-01T07:48:00.000-07:002007-06-01T07:48:00.000-07:00Nawashukuruni nyote kwa kunitakia pole.Mija nashuk...Nawashukuruni nyote kwa kunitakia pole.

Mija nashukuru kwa mwaliko wako.

Ikesha umenifurahisha sana na shughuli yako ya uhamasishaji umma vile umegonga milango mingi na kushawishi wanablogu wagombee nafasi. Hivyo ndivyo kuwafikia wananchi - nadhani matokeo yake umeyaona.
NB: Si ungejipendekeza katika nafasi ya katibu mwenezi - lakini uweka hazina nao sawa...(masihara!)mwandanihttps://www.blogger.com/profile/17221079814940079302noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-11685510.post-59531146115396269522007-05-27T10:31:00.000-07:002007-05-27T10:31:00.000-07:00Pole SanaPole SanaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-11685510.post-47817343198911000862007-05-27T08:23:00.000-07:002007-05-27T08:23:00.000-07:00Nambiza pitia mjadalani uchukue fomu.Nambiza pitia mjadalani uchukue fomu.Mija Shija Sayihttps://www.blogger.com/profile/01124823448880077425noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-11685510.post-73215927198129449602007-05-13T14:18:00.000-07:002007-05-13T14:18:00.000-07:00Poleni sana Mwandani, MtiMkubwa na familia kwa uju...Poleni sana Mwandani, MtiMkubwa na familia kwa ujumla.Mija Shija Sayihttps://www.blogger.com/profile/01124823448880077425noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-11685510.post-79770051751861479662007-05-11T15:39:00.000-07:002007-05-11T15:39:00.000-07:00Mwandani,Pole sana.Kama ulivyonena,ndio maisha.End...Mwandani,
Pole sana.Kama ulivyonena,ndio maisha.Endelea kuipigania nafsi kwa sababu kama wasemavyo wale weusi wenzetu a mind is a terrible thing to waste!Tupo pamoja.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-11685510.post-69276717333904228552007-05-10T20:34:00.000-07:002007-05-10T20:34:00.000-07:00Pole sana Joe. Nami niliposoma shairi lako niliku...Pole sana Joe. Nami niliposoma shairi lako nilikumbuka mistari michache niliyosoma nikiwa darasa la sita au la saba hivi. Mwandishi simkumbuki ila nakumbuka alikuwa akiwalilia wahenga katika fani ya utunzi:

Waandishi mashughuri, pamoja na wanazuo,
Hodari wa kufikiri, kutunga yenye mafao,
Ilipofika safari, kwenda kusiko rejeo,
Hawakuwa na saburi, wote wamekwenda zao.

Walikuwa wapendezi, wakifadhili wenzao,
Wakapendwa kwa mapenzi, ajabu mfano wao,
Wote hao wamezama…, zimebaki sifa zao,
Kwa kilio na machozi, hawarudi watu hao.

Naam. Hatuna la kufanya pale aliyetoa anapoamua kutwaa kilicho chake.
Ndio njia yetu sote. Poleni sana.Hector Mongihttps://www.blogger.com/profile/00011921227550453105noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-11685510.post-52681468370573306752007-05-09T05:28:00.000-07:002007-05-09T05:28:00.000-07:00Mzee!Tukopamoja!Endeleza tu uendelezayo.Ingawa tun...Mzee!Tukopamoja!Endeleza tu uendelezayo.Ingawa tunakumisi lakini tunaelewa.Mimi binafsi kuchelewa kwako kubandika, kumenipa muda wakurudia makala zako nyingi baabu kubwa ulizoziandika zamani mara nipitapo hapa .Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.com