tag:blogger.com,1999:blog-11685510.post4054516253378578580..comments2024-01-03T00:22:58.800-08:00Comments on mwandani: Mtazamo mbadala: Shivji ahoji tuzo ya Mo Ibrahimmwandanihttp://www.blogger.com/profile/17221079814940079302noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-11685510.post-91737748051754326332007-12-02T17:46:00.000-08:002007-12-02T17:46:00.000-08:00Yakhe,Natumaini unamkumbuka Brother Look. Yule raf...Yakhe,

Natumaini unamkumbuka Brother Look. Yule rafiki yako Mmarekani mwenye asili ya Kiafrika. Alikuwa na kile kitabu chake kinachofafanua magonjwa mbali mbali ya akili. Nina hakika mojawapo ya magonjwa ya akili yaliyomo kwenye kitabu chake gonjwa ni hili la gonjwa la kumbembelezwa. Gonjwa la kubebembelezana kung'atuka madaraka ya Urais lazima litakuwemo kwenye orodha ya magonjwa wazimu yalioorodheshwa kwenye kile kitabu. Iweje leo viongozi wa Afrika pekee yao kwa motisha ya hela/pesa wahamasishwe kung'atuka?

Yawezekana Mo Ibrahim katafakuru ile tabia ya "..Ukiacha ukaidi nitakupa pipi.."

Mwamba, al'hamsiki imejongea siku mpya nami ningali dawatini badala ya kujigalagaza godoroni.

Masalaamia,

F M Tungaraza.Anonymousnoreply@blogger.com