Kama unapenda kusaidia wengine wajue jinsi ya kublogu ili kuhabarisha umma au kuweka video kwenye mtandao Rising voices wanaendelea kutoa kutoa senti zitakazokurahisishia kufundisha wengine.
Unaweza ukapata dola 5000 zitakazokuwezesha kufundisha wengine. Unachotakiwa kufanya ni kutuma maombi kwa jamaa wa raising voices. Mstari mfu ni novemba 30, 2007.
Fanya utume. Bofya hapa kwa maelezo zaidi. Fomu za maombi zipo mwishoni mwishoni mwa ukurasa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
5 comments:
Sawasawa Mhe. Tungaraza. Mie ningependa, na niko tayari kuwasadia wale wote wanaotaka kutengenezewa templates zao upya, kwa namna wanavyotaka ziwe, bure!
ni hilo tu mkuu.
Tutembeleane.
Sema Nambiza!Tuko Pamoja!
kama mmoja wa wadau wa JUMUWATA,wengi wangependa kupata taarifa fupi kuhusu maendeleo ya JUMUWATA.
rasta hapa.
Mkuu Mwandani
Rasta hapa anapatikana hapa
http://rundugai.blogspot.com/
AMANI MKUU.
Nice blog and article, thanks for sharing
Post a Comment