Thomas Mapfumo, mwanamuziki aliyehamasisha vita ya ukombozi wa Zimbabwe anadai kwamba Komredi Mugabe angeshakubali kuachia ngazi na kuwapa MDC uongozi wa serikali Zimbabwe. Anasema tatizo ni kwamba maswahiba wa Mugabe hawatamruhuzu mzee akubali kushindwa kwa vile wanahofia kushitakiwa kwa kukiuka haki za raia na serikali mpya ya MDC. ..
Mapfumo yuko ziarani Australia. Niliongea wiki iliyopita kuhusu muziki wake pamoja na siasa ya Zimbabwe.
Bofya hapo chini usikilize mahojiano hayo yaliyowezekana kwa hisani ya kipindi cha Afroworld ndani ya Radio Adelaide.
2 comments:
Asante kwa mahojiano mazuri!
Political correct questions for hon.Zim rebal..kazi hii inakubalika mzee wa Down under.
Post a Comment