Thursday, September 13, 2007

Madhumuni ya tangazo la biashara kwanza ni kuvutia na kushika jicho la mnunuzi. Kwa hilo jamaa wa American Apparel wameweza - kushika jicho.

Cha kushangaza, hivi hawakuweza kupata mrembo mkubwa kwa umri kidogo, halafu akasitiri kidogo kifua chake, ambaye wasingempaka masizi kumfanya awe mweusi tii. Nijuavyo Marekani kuna weusi tii kwa wingi.

Sina hakika mlengwa wa biashara hii ni nani, japo tangazo limezua gumzo.

5 comments:

Simon Kitururu said...

Jamaa wachokozi tu hawa!

luihamu said...

Mzee Mwandani,bado sipati picha kwanini watumie rangi nyeusi,lakini wajua nini

RANGI NYEUSI NI RANGI YENYE NGUVU,RANGI YENYE MVUTO(THE BLACK MAN'S POWER)

Anonymous said...

listen here..... katika rangi zote unazozijua wewe binadamu, NYEUSI ndio rangi pekee ambayo inakubaliana na rangi nyingine zote.. so, huyu dada kwanza hajapakwa masizi, this is her natural skin color.. mimi namfaham binafsi, pili hizo rangi nyingine alizovikwa zimependeza only because they r put against her dark skin.. if she was pale white, the idea of the advertisement would have been lost.... I SAY KUDOS TO AMERICAN APPAREL...

mzee wa matukiodaima habari bila uoga said...

Kweli hapa jibu lina hitajika

Meizitang Botanical said...

Nice blog and article, thanks for sharing.