Sunday, April 20, 2008

MAHOJIANO NA THOMAS MAPFUMO


Thomas Mapfumo, mwanamuziki aliyehamasisha vita ya ukombozi wa Zimbabwe anadai kwamba Komredi Mugabe angeshakubali kuachia ngazi na kuwapa MDC uongozi wa serikali Zimbabwe. Anasema tatizo ni kwamba maswahiba wa Mugabe hawatamruhuzu mzee akubali kushindwa kwa vile wanahofia kushitakiwa kwa kukiuka haki za raia na serikali mpya ya MDC. ..

Mapfumo yuko ziarani Australia. Niliongea wiki iliyopita kuhusu muziki wake pamoja na siasa ya Zimbabwe.

Bofya hapo chini usikilize mahojiano hayo yaliyowezekana kwa hisani ya kipindi cha Afroworld ndani ya Radio Adelaide.2 comments:

SIMON KITURURU said...

Asante kwa mahojiano mazuri!

Aliko said...

Political correct questions for hon.Zim rebal..kazi hii inakubalika mzee wa Down under.