Wednesday, February 14, 2007

KWA WAPENDANAO


Kuadhimisha siku ya wapendanao, ambayo ni leo, kwa wale mnaoweza sanaa ya kuandika mashairi ya mapenzi, , mnashauriwa kushiriki kwenye shindano la mashairi ya siku ya wapendanao la sauti za dunia. Hata kama hutaki kushiriki kuandika - suuza moyo wako hapa kwa kuperuzi sehemu ya maoni palipojaa mashairi yaliyokwishatumwa.

2 comments:

MTANZANIA. said...

Mwandani,
Hivi kweli hii ni siku ya wapendanao kwa dhati? Au ni siku ya wasiopendana kwa namna inavyosheherekewa sehemu mbalimbali duniani. Mathalani inasemekana idadi kubwa ya watu hujikuta wakiangukia mikononi mwa VVU kwa kile kinachoelezeka ni kuonyesha kuwa wanawapenda wenziwao. Ni hatari hii!!

Simon Kitururu said...

Mwandani eeh! Najua uko bize!Lakini nasubiria hapa.Sasa nifanyeje?Siku njema!