Friday, May 09, 2008

WAGONJWA JEURI

Tuko tayari kutumia jeshi letu la majini kukusanya waliopoteza maisha, waliopotea, na kuweka hali sawa. Lakini ili kuweza kufanya hivyo, utawala wa kijeshi lazima uturuhusu kuingia nchini humo.
2008

Tunaghafirishwa na serikali ya Myanmar kwa inavyojivutavuta kupokea na kukubali usaidizi wetu. Ni wazi uwezo wa serikali hiyo siyo mkubwa kuweza kukabili hali iliyopo, ambayo ni janga"
2005

"Madaktari wetu wanao uzoefu wa kimataifa na wanaijua lugha ya kiingereza ambayo itawawezesha kuwasiliana na waathirika. Tupo tayari, tunasubiri tu majibu ya serikali ya Marekani."

3 comments:

Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
luihamu said...

kaka habari,
nimerudi tena
amani iwe nawe.

Rama Msangi said...

kamanda inakuwaje? Msangimdogo amerejea tena, akipatikana katika www.uchambuzi.blogspot.com