Wednesday, October 21, 2009

UHURU WA VYOMBO VYA HABARI – Tanzania

Tanzania imepanda kwa chati kwenye takwimu mpya zilizotelewa muda mchache uliopita.. Ipo kwenye alama ya 62 kati ya nchi 175 zilizoangalia kwenye chati ya Reporters Without Borders For Press Freedom.

Chati hiyo inaangalia uhuru wa wanahabari na vyombo vya habari katika nchi 175, na kiwango ambacho mamlaka za nchi zinathamini, zinahakikisha au kiwango ambacho zinakandamiza uhuru wa vyombo vya habari, pamoja na jitihada zinazofanywa na mamlaka katika nchi ili kuhakikisha kuwa uhuru wa vyombo vya habari na wanahabari unaheshimiwa.

3 comments:

mdoti Com-kom said...

Inaweza kuwa kweli kunauhuru wa vyombo vya habari kwa kadri ya takwimu za kimataifa, lakini kusiwe na uhuru wa waandishi wahabari, hasa kiuchumi, kifikra , kielimu, na kiutamaduni vilevile. hali hii inaweza kusababisha habari muhimu kutokuandikwa. Karibu kwangu

Ifa Fernandes said...

- obat perangsang wanita
- obat perangsang
- obat perangsang cair
- obat perangsang alami

casinoxo said...

อยากสนุกแบบไม่มีจำกัด ต้องเล่นสล็อตออนไลน์ที่เว็บเรานี้
epicwin ได้เงินเยอะได้เงินจริง
https://www.slotxd.com