Saturday, May 15, 2010

MICHORO

Avenue Tupical Jimenez

Bella Vista - Bohemian district? pengine...


Mji wa Santiago umejaa michoro. Sijui kwa nini miji yenye mifarakano au migongano ya kitabaka watu hupendelea kuchora majengo.