Saturday, May 15, 2010

MITAA

Mzee akibarizi bustanini

Mwanamke wa shoka na mbwa koko
(kuna mbwa koko wengi sana Santiago!)


Moneda Palace- Hapa ndio ofisi ya rais wa Chile, anaingilia mlango wa pembeni upande wa kushoto kwa miguu kila asubuhi, na ndio hapa alipofariki Rais Salvador Allende wakati wa mapinduzi ya kijeshi mwanzoni mwa miaka ya 70.

***************

Wapendanao kila sehemu