Saturday, May 15, 2010

TETEMEKO

Tetemeko la ardhi lililoikumba Chile halikuwa na madhara makubwa jijini Santiago kama vile ilivyokuwa sehemu za kusini. Ni nyufa tu na majengo mengi yameshafunguliwa kwa ajili ya shughuli za kawaida.

Jengo la maonyesho (Theatre/Opera house) mtaa wa Augustina.