Mtindo huu wa kupiga rangi za viatu hauniridhishi. Naona kama vile mpiga rangi hujisikia vibaya. Kama ada kila mtu hubeba gazeti na kuanza kusoma pindi mpiga rangi anapoanza kazi.